Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

Thursday, 2 June 2016

Record Lebo 'WCB' yamsaini Rasmi Rich..

Msanii wa bongo Flava Rich Mavoko amesainiwa rasmi hii leo kwenye record Lebo ya wasafi Classic   'WCB' inayo milikiwa chini ya Dimond Platnumz.
Mavuoko sasa anakuwa msanii wa nne kusainiwa kwenye Lebo hiyo.

Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii nne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na jumla ya wasanii nne Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling  taarifa kutoka Millard Ayo.



Thursday, 12 May 2016

Mwana FA. AY Walipwa Fidia...

Mahakama ya Hakimu  Mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya  mawasiliano Tigo Tanzania kuwalipa fidia wanamziki wa bongo fleva, Hamis Mwinjuma aka Mwana FA pamoja Ambwene Yesaya aka AY  jumla ya kiasi cha Sh.2.18 Bilioni za kitanzania. Kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller tune( mwitikio wa simu) bila ruhusa na mkataba.
Taarifa kutoka The Citizen zinasema;
Kampuni hiyo ilikuwa imepeleka pingamizi la hukumu hiyo ya mahamaka ya hakimu mkazi Ilala katika mahakama kuu ya Tanzania. Rufaa hiyo ilipangwa kusikilizwa Jumanne hii lakini imeahirishwa hadi Ijumaa.
Madai ya Mwana FA na AY ni kuwa Tigo ilitumia kazi zao bila kuwa na mkataba nao wowote au kampuni ya kati iliyowawakilisha na hivyo kuingiza fedha ambayo wawili hao wanaamini ni nyingi.
Awali walitaka walipwe fidia ya shilingi bilioni 4.3.

Monday, 25 April 2016

Papa Wemba Star wa Muziki Amefariki Dunia Baada ya Kudondoka kwenye Stage....

Mwanamziki Maarufu Duniani mataalam kwa nyimbo aina ya Soukus, Papa Wemba umri miaka 66 amefariki hapo jana akiwa Ivory Cost.
Taarifa zinasema kuwa Mwanamziki huyo akiwa Ivory Coast hapo jana video zilizokuwa zikitumika kuonyesha maonyesho yake zinasema kuwa Wemba alidondoka akiwa kwenye stage nyuma ya madancers wake.
Papa Wemba atakumbukwa sana kwa nyimbo zake za miondoko ya Kiafrika, Cuba na nyimbo za kimagharibi.

Tuesday, 1 March 2016

'Work' by Rihanna & Drake Leads for the Second Week on Hot 100 Billboard...

New Song "Work" by Rihanna featuring Drake released on Feb 2016 continues to lead for the Second Week at No. 1 on Billboard Hot 100   also it is on top on the most Streaming song on the secong week.

Watch and Stream down here the list of Billboartd Hot 100 posted on Billboard.com on each Monday
 
       


you can also watch below the new Song of Rihanna feat. Drake - Work

Friday, 5 February 2016

Meek Mill Sentenced to 3 Month House Arrest

Rapa Meek Mill won't be going to jail and he wont be free, this is due to Friday freb, 5 the Judge ruled that the Phildelfoa rapa must serve three month house arrest for violating his Parole.
Due to this, the 27yrs rapa is set to serve a minimum of 90 days, amd he will not be able to rap, perform, or make any new music during that time this will include no more Drake Diss tracks.  Common Pleas Judge Genece Brinkley also ordered an additional six years of probation, report Fox 29
Meek has been on probotion for 2009 drugs and conviction.He violated his Parole with unapproved travel amd failed a urine test.
Nicki Minaj, who testified on her boyfriend’s behalf in December, reportedly met with Meek and the judge today to discuss his upcoming charity work
Meek is due to turn himself in by March 1 and a judge will reevaluate the case 90 days later

Saturday, 30 January 2016

Ali Kiba na Sauti Solo kuanza kushoot Video Mombasa


Ali Kiba pamoja na Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wameanza rasmi kushoot video yao  mpya ya Collabo huko mjini Mombasa, Kenya Chini ya Uongozi wa Kampuni ya Gorilla Films inayosimamiwa na Justine Cumpos.

A photo posted by 2014 MTV EMA BEST AFRICAN ACT (@sautisol) on

Tuesday, 29 December 2015

Dimond atoa sababu za kutokuwepo kwa utambulsho wa Producer Nahreel katika wimbo wake wa 'Nama'

Producer wa stugio ya The Industry alitoa lawama zake juu ya utambulisho wake wa Nahreel on the beat kuondolewa  katika hitsong ya wimbo wa Platnumz - Nana, Dimond Platnumz ametolea ufafanuzi juu ya hilo.


Dimond Platnumz kupitia kipindi cha 255 XXL ya Clouds Fm amesema kuwa kabla ya kushoot video Nahreel alimpatia demo ambayo ilikua haina utambulisho huo na walpomaliza kushoot na director kuedit video hiyo Nahreel alimpatia audio iiyokuwa imekwisha kamilika ikiwa na utambulisho wake Kitu ambacho kingempa kazi tena director kutokana na kuongezeka kwa sekunde kweny demo iliyotumika mwanzo,
Nahivyo isingekuwa rahiisi kwa director kuanza kukata tena na kuedit upya jambo ambalo lingekuwa linachelewesha kazi hiyo.



Dimond alisema kuwa: 
"Haikuweza kufi kwasababu ilikuwa inazidishasekunde ilalafu ilkuwa inaanza mwanza mara kumi ingekuwa inaakaaa mwisho   tungesema inaishia mwisho lakini ingekuwa vigumu kuiweka mwanzo..........
angeiweka tangu manzo ingekuwa rahisi...."
Na khuusu video hiyo kufanyia mastering na Tuddy Thoms, amesema kuwa hakuna ukweli wowote kwamba Tuddy atakuwa ameichekecha video hiyo.

Monday, 21 December 2015

Dimond Platnumz na Watoto wa Mume wa zamani wa Zari Ana kwa Ana

Dimond akutana na watoto watatu wa mume wa Zari wa zamani. Ivan Ssemwanga. Licha ya Dimond  kuwa na mototo pamoja na Zari haikumzuia yeye kuonana na familia yake huko Uganda. Dimond Platnumz aliamua kupiga picha na watoto hao pamoja na mkewe kwa ujumla kama familia moja.

Cheki Album Nzima ya Chriss Brown Royality

Chris Brown amedondosha album yake mpya Royality iliyokuwa ikingojewa sana na mashabiki wake baada ya kuahirishwa kwa mara ya kwanza. Album hiyo mpya ni ya saba sasa baada ya ile iliyo pita ya X.
 Nyimbo zote alizotoa kipindi hiki na katika msimu huu zote zinapatikana katika album hyio ikiwamo Back to Sleep, Zero, Liquor, Anyway, Wrist Little More na nyinginezo. Nyimbo zote hizi pamoja na album yake zimekuwa dedicated kwa mwae wa kike ambae mpaka sasa anamwaka moja na nusu tangu azaliwe.
Chriss amesema kuwa Album yake hii mpya imefanya atambue yuko wapi kwa asa katika maisha yake ya mziki.
Pia alitumia fursa hiyo pia kuwaambia mashabiki wake kupitia mtandao wa twitter kuwashukuru na kuonyesha inapopatikana album yake.


Royalty Tracklisting
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway” feat. Tayla Parx
8. “Picture Me Rollin'”
9. “Who’s Gonna (Nobody)”
10. “Discover”
11. “Little Bit”
12. “Proof”
13. “No Filter”
14. “Little More (Royalty)”
Deluxe Edition
15. “Day One”
16. “Blow It In the Wind”
17. “KAE”
18. “U Did It” feat. Future

Thursday, 3 December 2015

Ali Kiba, Dimond Platnumz, Vanessa Mdee kushindanishwa tena katika HiPipo Awards2016..

Ali Kiba, Vanessa Mdee, pamoja na Dimond Platnumz wameshindanishwa tena kwa mara nytingine katika tuzo za HIPIpo Awards (hIpIPO Music Awards) zinazo julikana kama HMA 2016 ya huko nchini Uganda katika Vipengele tofauti.
Itazame List ya wanaoshindaniishwa nao hapa.

List
East Africa Best Video
  1. Nka Paradizo by Priscillah Ft Meddy (Rwanda)
  2. Chukua Hatua by Stella Mwangi (Kenya)
  3. Shake Yo Bam Bam by Sauti Sol (Kenya)
  4. Nana by Diamond Platnumz Ft Mr Flavour (Tanzania)
  5. Nobody But Me by Vanessa Mdee Ft. K.O (Tanzania)
  6. Siri Zari by Sheebah (Uganda)
East Africa Super Hit
  1. Weka Weka by P Unit (Kenya)
  2. Sura Yako by Sauti Sol (Kenya)
  3. Nana by Diamond Platnumz (Tanzania)
  4. Nobody But Me by Vanessa Mdee Ft. K.O (Tanzania)
  5. Mwana by Alikiba (Tanzania)
  6. Nka Paradizo by Priscillah Ft Meddy (Rwanda)
  7. Till I Die by Urban boyz Ft Riderman (Rwanda)
  8. Woman by Juliana Kanyomozi (Uganda)

Monday, 30 November 2015

Tracklisting: Chris Brown – ‘Royalty’

Chris Brown ameachia Track List ya albumyake mpya ya saba Royality. Brown amekwisha achia nyimbo zake  kipindi hiki kama vile "Zero, Back to Sleep na ya sasa Fine by Me".
Brown anatarajia kuachia Album yake Royality hapo Dec. 18.
Track List yote iko hapa chini.

Royalty Tracklisting
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway”
8. “Picture Me Rollin'”
9. “Who’s Gonna (NOBODY)”
10. “Discover”
11. “Little Bit”
12. “Proof”
13. “No Filter”
14. “Little More (Royalty)”

Deluxe Edition
15. “Day One”
16. “Blow It In the Wind”
17. “KAE”
18. “U Did It” feat. Future

Monday, 23 November 2015

August Alsina Kudhihirisha Collabo yake na Chris Brown

August Alsina Ambae hivi sasa yuko njiani kuachia album yake mpya ya this thing called life atakayo iachia hapo Dec. 11. Kupitia Rup up Tv amedhihirisha collabo zake atakazo fanya  na wasanii kama Jada Kiss, Anthony Hamilton pamoja na Chris Brown.
Chris brown alishawahi kupiganae remix ya "I love this shit".
Itazameshow hiyo hapa chini.

Wednesday, 18 November 2015

Saut Solo na Album yao Mpya 'Live and Die In Africa'


Kundi Maarufu Nchini Kenye Saut Solo hiv punde tu waliachia Album cover ya Album yao mpya ya Live & Die in Africa na sasa kundi hilo limedondosha nyimbo zinazopatikana katika Album yao hiyo mpya.
cheki Orodha ya Nyimbo zinazopatikana katika album hii mpya.

Live & Die In Africa;

 1. Sura Yako
2. Live And Die In Afrika
3. Say Yeah
4. Isabella
5. I’s Okay
6. Nishike
7. Dollar Dollar
8. Still The One
9. Kiss Me
10. Nerea ft. Amos & Josh
11. Kuliko Jana ft. Aaron Rimbui
12. Sambo Party
13. Nipe Nikupe
14. Shake Yo Bam Bam
15. Relax

Monday, 16 November 2015

Dimond Platnumz, Vanessa Mdee washinda Tuzo za AFRIMA AWARDS2015..

Jumapili ya tarehe 15 Nov.2015 katika tuzo za All Africa Music Awards 2015 zinazo julikana kama Afrima Awards zilizofanyika huko Lagos Nigeria, Tanzania ikiwakilishwa na wasanii wawili ambao nni Dimond pamoja na Vanessa Mdee waliweza kujinyakulia tuzo hizo katika vipengele tofauti.
Dimond aliweza kushinda katika vipengele vitatu ambavyo ni, , Artist of the year, Best Male Artist in East Africa, na Song of The Year ambapo wimbo wa "Nasema Nawe" uliibuka kuwa wimbo bora wa mwaka.
Vanessa Mdee nae alijinyakulia tuzo ya moja ya Best African Pop kupitia wimbo wa "Hawajui"
Na hivyo Tanzania kunyika kua tuzo nne kwa ujumla moja ikichukuliwa na Vanessa Mdee na tatu zikiichukuliwa na Dimond platnumz



AFRIMA WINNERS LIST
Na hapa ni orodha kamili ya washindi wote wa tuzo za AFRIMA Awards 2015:
ARTIST OF THE YEAR Diamond Platnumz
SONG OF THE YEAR
Diamond Platnumz – “Nasema Nawe”, featuring Khadijo Kopa
ALBUM OF THE YEAR Charlotte Dipanda – “Elle n’a pas vu”
BEST ARTISTE IN AFRICA (RnB & Soul) Praiz Adejo – Nigeria
BEST AFRICAN REGGAE, RAGGA & DANCEHALL Stonebwoy – Ghana
BEST MALE ARTISTE: INSPIRATIONAL CATEGORY Darey – Nigeria
BEST FEMALE ARTISTE: INSPIRATIONAL CATEGORY Betty Akna- Equatorial Guinea
VIDEO OF THE YEAR Wiyaala – Ghana
BEST ARTISTE IN AFRICAN POP Vanessa Mdee – Tanzania
BEST ARTISTE IN AFRICAN HIP HOP Casper Nyovest – South Africa
BEST ARTISTE IN AFRICAN ELECTRO Flavour – Nigeria
PRODUCER OF THE YEAR Sauti Sol and Cedric Kadenyi – Kenya
SONGWRITER OF THE YEAR IN AFRICA Joseph Chameleone – Uganda
REVELATION OF THE YEAR IN AFRICA Adekunle Gold – Nigeria
MOST PROMISING ARTISTE IN AFRICA Kiss Daniel – Nigeria
BEST ARTISTE IN AFRICAN CONTEMPORARY Charlotte Dipanda
BEST ARTISTE IN AFRICAN JAZZ Kunle Ayo – Nigeria
BEST MALE ARTISTE IN WESTERN AFRICA Olamide – Nigeria
BEST FEMALE ARTISTE IN WESTERN AFRICA Yemi Alade – Nigeria
BEST ARTISTE IN AFRICAN ROCK M’vula – Kenya
BEST AFRICAN GROUP Sauti Sol- Kenya
BEST AFRICAN COLLABORATION AKA(South Africa) and Burna Boy(Nigeria)
BEST FEMALE ARTISTE IN SOUTHERN AFRICA Busiswa Ngoku- South Africa
BEST MALE ARTISTE IN SOUTHERN AFRICA Casper Nyovest- South Africa
BEST FEMALE ARTISTE IN NORTHERN AFRICA Manal- Morocco
BEST MALE ARTISTE IN NORTHERN AFRICA Ahmed Soultan- Morocco
BEST FEMALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA Tsedenia Gebremarkos- Ethiopia
BEST MALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA Diamond Platnumz- Tanzania
PILLAR OF CULTURE IN AFRICA Bola Ahmed Tinubu (Jagaban)

Friday, 30 October 2015

'Game' by Navy Kenzo Yashika Namba One kwenye top 10 Chart za Trace Nigeria

Nyimbo mpya ya Game iliyotengenawa na kundi l nay kenzo wakimshirikisha Vanessa Mdee,imeshika namba moja katika chart za trace Nigeria.
kama ulikosa vidoe ya Game itazame hapa chini.

MTVEMA2015; Dimond Platnumz arudi Nyumbani na Tuzo nyingine

Hivi karibuni Dimond Platnumz aliweza kujinyakulia tuzo za AFRIMMA2015, na bada ya hapo Dimond alitangazwa na MTVBASE kama mshindi wa Mtv Europe kipengele ha Bets African Act na kuingia katika kipengele kingine cha MTVEMA 2015 katika kipengele cha Betsworldwideact ambapo aliweza kumshinda mpinzani wake Priyanka chopra na kuibuka mshindi wa kipengele hicho.

Tuzo hizi zilifanyika huko Milan Italy.

Monday, 19 October 2015

Mohammedui Dewji amewashauri wananchi kuwekeza kwenye Kilimo

Mfanaya Biashara Maarufu Nchini na aliyekuwa Mbunge wa Singida mjini Mohammedi Dewji kupitia kipindi cha Mkasi Tv amewashauri wanachi wawekeze sana katika kilimo na kuwaambia kuwa vijana wajue kuwa kuna pesa nyingi katika Kilimo.
pamoja na hayo  Dewji amesema kuwa Tanzania ni Moja ya Nchi Kumi(10) duniani inayoongoza kwa kukuwa kiuchumi na Uchumi wake unakuwa kwa Asilimia 7 mpaka 7.2%
Aaidha amesema kuwa pamoja na chini hii kukuwa kiuchumi Pesa haziwafikii watu wa chini.

Dewji pamoja na kuachana na Siasa amesema kuwa alipokuwa mbunge wa Singida alitumia Bilioni 5 aliweza kuchimba visima 50 na kutatua tatizo la maji katika jimbo la singida mjini.
Mwakamwezi March2013 Dewji alitajwa na Jarida la Forbes kama billionaire wa kwanza Nchini Tanzania na Mwaka 2015 akatajwa tena na jarida hilo kama moja ya matajiri 31 barani Africa.

Ommy Dimpozi Kudondosha Album yake Mwishoni Mwa Mwaka Huu

Msanii wa bongo flava Ommy Dimpoz ametangaza rasmi kuachia album yake mpya mwezi December mwaka huu. Mwishoni mwa mwaka jana msanii huyu aliahidi kudondosha album hiyo mapema kabisa  kipindi cha valentine day lakini kutokana na harakati za uchaguzi na kampeni za kisisasa akashindwa kuachia album hiyo.
Ommy Dimpozi alisema;
“So far nina nyimbo nyingi ambazo nimezirekodi, kwasababu kama nilivyoahidi tangia mwanzo nilikuwa na mpango wa kutoa album kwaajili ya mashabiki, ambayo sasa hivi kutokana na vuguvugu la uchaguzi ningekuwa tayari nimeshatoa lakini kutokana na kuupisha uchaguzi nimefikiria kuiahirisha hadi December.”
Ommy Dimpozi hivi karibuni ameweza kujinyakulia tuzo yake ya Afrimma kama Best New Comer2015.

Thursday, 15 October 2015

Chris Brown Reveals 'Royalty' Realease Date

Chris Brown has set the realease date of his new album 'Royality' . Inside the Album there will be two new singles, which are Liquor and Zero.
Chris at the hot67 he say that he will realease his seventh album on Oct 27.
The album, which has spawned the singles “Liquor” and “Zero,” was named after his one-year-old daughter.
chris Brow Reavel this on Hot97...


“There comes a time when people kind of have to grow up and become more of an adult and take on different responsibilities,” said the proud father. “I think this was just a blessing in disguise with my daughter because I get a chance to look at her and teach her the right path and also be a father in my daughter’s life.”