Monday 16 November 2015

Dimond Platnumz, Vanessa Mdee washinda Tuzo za AFRIMA AWARDS2015..

Jumapili ya tarehe 15 Nov.2015 katika tuzo za All Africa Music Awards 2015 zinazo julikana kama Afrima Awards zilizofanyika huko Lagos Nigeria, Tanzania ikiwakilishwa na wasanii wawili ambao nni Dimond pamoja na Vanessa Mdee waliweza kujinyakulia tuzo hizo katika vipengele tofauti.
Dimond aliweza kushinda katika vipengele vitatu ambavyo ni, , Artist of the year, Best Male Artist in East Africa, na Song of The Year ambapo wimbo wa "Nasema Nawe" uliibuka kuwa wimbo bora wa mwaka.
Vanessa Mdee nae alijinyakulia tuzo ya moja ya Best African Pop kupitia wimbo wa "Hawajui"
Na hivyo Tanzania kunyika kua tuzo nne kwa ujumla moja ikichukuliwa na Vanessa Mdee na tatu zikiichukuliwa na Dimond platnumz



AFRIMA WINNERS LIST
Na hapa ni orodha kamili ya washindi wote wa tuzo za AFRIMA Awards 2015:
ARTIST OF THE YEAR Diamond Platnumz
SONG OF THE YEAR
Diamond Platnumz – “Nasema Nawe”, featuring Khadijo Kopa
ALBUM OF THE YEAR Charlotte Dipanda – “Elle n’a pas vu”
BEST ARTISTE IN AFRICA (RnB & Soul) Praiz Adejo – Nigeria
BEST AFRICAN REGGAE, RAGGA & DANCEHALL Stonebwoy – Ghana
BEST MALE ARTISTE: INSPIRATIONAL CATEGORY Darey – Nigeria
BEST FEMALE ARTISTE: INSPIRATIONAL CATEGORY Betty Akna- Equatorial Guinea
VIDEO OF THE YEAR Wiyaala – Ghana
BEST ARTISTE IN AFRICAN POP Vanessa Mdee – Tanzania
BEST ARTISTE IN AFRICAN HIP HOP Casper Nyovest – South Africa
BEST ARTISTE IN AFRICAN ELECTRO Flavour – Nigeria
PRODUCER OF THE YEAR Sauti Sol and Cedric Kadenyi – Kenya
SONGWRITER OF THE YEAR IN AFRICA Joseph Chameleone – Uganda
REVELATION OF THE YEAR IN AFRICA Adekunle Gold – Nigeria
MOST PROMISING ARTISTE IN AFRICA Kiss Daniel – Nigeria
BEST ARTISTE IN AFRICAN CONTEMPORARY Charlotte Dipanda
BEST ARTISTE IN AFRICAN JAZZ Kunle Ayo – Nigeria
BEST MALE ARTISTE IN WESTERN AFRICA Olamide – Nigeria
BEST FEMALE ARTISTE IN WESTERN AFRICA Yemi Alade – Nigeria
BEST ARTISTE IN AFRICAN ROCK M’vula – Kenya
BEST AFRICAN GROUP Sauti Sol- Kenya
BEST AFRICAN COLLABORATION AKA(South Africa) and Burna Boy(Nigeria)
BEST FEMALE ARTISTE IN SOUTHERN AFRICA Busiswa Ngoku- South Africa
BEST MALE ARTISTE IN SOUTHERN AFRICA Casper Nyovest- South Africa
BEST FEMALE ARTISTE IN NORTHERN AFRICA Manal- Morocco
BEST MALE ARTISTE IN NORTHERN AFRICA Ahmed Soultan- Morocco
BEST FEMALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA Tsedenia Gebremarkos- Ethiopia
BEST MALE ARTISTE IN EASTERN AFRICA Diamond Platnumz- Tanzania
PILLAR OF CULTURE IN AFRICA Bola Ahmed Tinubu (Jagaban)

Related Posts

Dimond Platnumz, Vanessa Mdee washinda Tuzo za AFRIMA AWARDS2015..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR