Monday, 5 December 2016
Monday, 3 October 2016
Sunday, 18 September 2016
Wednesday, 14 September 2016
Wednesday, 31 August 2016
Sunday, 28 August 2016
New Music: John Legend - ''Start''
MUSICJohn Legend takes fans back to the “Start” with his latest jam, a mellow cut off the soundtrack for Southside with You.
on the middle of the song he says “You don’t know if I’ll break your heart / We don’t know how the winds will blow / And we won’t know, we won’t go unless we start.”
Listen to the new song via apple Music bwlow here..
Saturday, 20 August 2016
Man United Yiadhibu Southampton
MICHEZO
Magoli Mawili yaliyofungwa na Ziltan Ibromovich yaliiwezesha timu hiyo kupata ushindi dhidi ya Southampton katika mechi ligi kuu ya Uingereza iliyochezwa hapo jana.
Hivyo Man United kujinyakulia point tatu mkononi dhidi ya southampton.
Kocha Jose Mournho amesifia Paul Pogba moja ya wachezaji waliouzwa kwa gharama kubwa mwaka huu kwa ada ya paundi 89 milioni, alifungua mechi yake ya kwanza baada ya kucheza kwa umahiri mkubwa zaidi ya wachezaji wengine katika timu hiyo, ambapo aliweza kukamilisha pasi (71), alizogusa (103), huku shots zikiwa (4).

Monday, 15 August 2016
Rais wa Zambia Atangazwa Mshindi Uchaguzi Mkuu
KIMATAIFA
Rais wa Zambia Edger Lungu ametangazwa mshindi wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Urais nchini humo.
Edgar Lungu alishida kwa asilimia 50.35 ya kura huku mpinzani wake Hakainde Hichilemi ambae ni mfanya biashara mkubwa nchini humo aliyeshnda kwa asilimia 47.67 kama Tume ya Uchaguzi ilivyotangaza.
Chama cha Upinzani upande wa Hichilema UNPD kilijitoa mapepma katika uhakiki wa kura zilizopigwa na raia wa nchi hiyo kwa madai kuwa uchaguzi huo ulikuwa na udanganyifu mkubwa.
Uchaguzi mkuu wa Urais Zambia ulifanyika siku ya Alhamis wiki iliyopita.

Friday, 5 August 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)