Tuesday 6 October 2015

NEW MUSIC; RICK ROSS FT CHRISS BROWN - SORRY

Rick Ross amekuja na nyimbo yake mpya ya sorry akimshirikisha Chris brown
“more of a personal record, more of a passionate record  na pia kwa upande wa chris yeye alikubali ngoma hiyo na kwakuwa ilikuwa ni moja ya record nzuri aliyowakufanya akiwa ameshirikishwa na Rozzey.
sikiliza ngoma hiyo Official audio 

pia katika interview hiyo na breakfast clab msanii huyo alizungumzia juu ya ugomvi wa Drake na Mick Mill.


Related Posts

NEW MUSIC; RICK ROSS FT CHRISS BROWN - SORRY
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR