Lebron james akifungga kikapu dhidi ya Kley Thompson akiwa na point 40 |
Ligi ya kikapu huko nchini marekani ya zidi kuendelea ambapo siku ya jana katika finali ya mchezo wa 3 kati ya cleveland caverliers na golden state worriors. clevelandi iliishindaa Worriors kwa vikapu 96 - 91. katika finali hiyo ya tatu Lebron James wa cleveland aliweza kumshinda mpinzani wake stephen carry, akiwa na point 40, rebound 12, na assist 8, huku mpinzani akiwa na point 27.
Katika mechi hiyo kocha wa Cleveland David Blatt alisema James aliweza kuimiliki timu yake vizulu na kuweza kucheza vile ambavyo walitarajia.
mpaka sasa cleveland wanaizid worriors kwa kushinda michezo 2-1 kati ya michezo saba zilizobaki.a katika fainali hiozi za kikapu Lebron James ameshinda vikapu 123.
Lebron James akifunga kikapu dhidi ya mpinzani wake klay thompson ikiwa ni assist kutoka cleveland akiwa na vikapu 40 na rebound12.
nafinali ya nne inakwenda kufanyika hapo alhamisi yani kesho, ambapo Golden worriors watakua nyumbani kwa Cleveland Cavaliers na katika mechi iliyopita James alikua na vikapu 39
Lebron James dhidi ya mpinzani wake Stphen Carry. |
CLEVELAND CAVERLIERS YASHINDA VIKAPU 96-91 DHIDI YA GOLDEN STATE WORRIORS
4/
5
Oleh
kwetutz24