Wednesday, 10 June 2015

NAMBA YA WAGOMBEA URAIS CCM YAZIDI KUONGEZEKA NA KUFIKIA 26

 



 Namba ya wagombea urais CCM yazidi kuongezeka na kufikia 25. katika kipindi cha kugombea urais had sasa wanawake wawili wameweza kuingia katika kinyang'anyiro hicho akiwemo Dr. Mwele Malecela kutoka Tanzania bara na Ms Amina Salum Ali kutoka Zanziber. hii yote imetokana na mwamko kwa wanaqwake bungeni katika kugombea ubunge wa viti maalum na pia kuwa na mwamko katika siasa.


     Sasa, Je! nchi itakubali kuongozwa na Rais mwanamke, kwakua ni miaka mingi sasa imepita nchi ya Tanzania haijawai kchi uongozwa na mwanamke. mfano katika bara la afrika nchi mojawapo inayoongozwa na rais mwanamke ni Liberia Ellen Jonson SirLeaf  ambae ameongoza kwa mda mrefu sasa toka january 16, 2006 alipoingia madarakani mpka sasa, na wananchi wa Liberia wanamkubali kutoka na siasa zake na utawala wake bora. Pia mwingine ni Rais wa Brazil Dilma Rouseff ambaye ni Rais wa kwanza wakike nchini Brazil na aliingia katika uchaguzi akiwa na mpinzani Aecio Neves ambapo alifanikiwa kumpita mpinzani                                                                                          wake huyo kwa kura 51.6% kwa 48.4%.
Basi ni nafasi ya wanawake sasa nchni Tanzania kugombea ilikujaribu nafasi yao wao kama wanawake, bila kuwepo na  vipingamizi ambavyo vita warudisha nyuma katika kugombea kwao, ni nafasi yao sasa kujaribu.


Ms Amina Salim Ali akichukua fomu ya ugombea Urais CCM.
Nae Dr. Mwene Malecela akichukua fomu ya kugombea Urais CCM.











































Related Posts

NAMBA YA WAGOMBEA URAIS CCM YAZIDI KUONGEZEKA NA KUFIKIA 26
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR