Kupitia CD hizo vijana
hao walikua wakiangalia mauaji ya watu mbalimbali yanayo fanywa na kundi la kigaidi la Al Shabaab. Jeshi la polisi bado linaendelea kufanya operesheni ilikubani kujua ni kwa nini vijaana hawa wanaangalia CD hizo na ni kwa madhumuni gani wanaangalia CD hizo. Jeshi la polisi Mkoani Iringa limeomba wananchi wa mkoa huo kutoa ushirikiano pindi wanapo ona matukio kamnma hayo yanafanyika.
JESHI LA POLISI LA KAMATA CD ZILIZOKUA NA MAFUNZO YA UGAIDI MKOANI IRINGA
4/
5
Oleh
kwetutz24