Wanafunzi hao waliandamana wakidai warudishiwe fedha zao na wanafunzi wengine kuwashinikiza wenzao wasifanye mtihani kwakua stashahada wanayo somea ya famasia haitambiuliki na hakijasajiliwa katika vituo vya famasia.
Elias mbogho kiongozi wa wanafunzi hao alizungumza na waandishi wa habari na alisema wameamua kundamana kutokana na wanafunzi waliomaliza ngazi ya stashahada ya famasia warudishiwe leseni na kuwa chuo hiko hakitambuliki, yaani hakijafanyiwa usajili katika ngazi ya Famasia na ndipo mgomo ulipoanzia. Afisa wa chuo hicho alisema mgomo huo ulishapewa suluhu na walishathibitisha usajili wa chuo hicho
.
Polisi wa FFU wakifanya doria na kangalia usalama katika chuo hicho .
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA KAMPALA WASAMBARATISHWA KWA MABOMU
4/
5
Oleh
kwetutz24