Monday, 8 June 2015

MBUNGE WA JIMBO LA BUMBULI JANUARY MAKAMBA ATANGAZANIA YA KUGOMBEA URAIS KWA WANANCHI WAKE

Mbunge wa monduli ambaye ni naibu Waziri wa wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia Janury Makamba atangaza nia kupitia CCM kwa wananchi wake, ahaidi ya kwamba atatoa usimamizi katika uchumi (uchumi bora) pia atalinda amani na usalama katika nchi, haya ni mambo aliyoyapa kipaumbele endapo atakuwa Rais wa nchi ikiwa ni pamoja na Utawala bora.



January Makamba akitangaza Nia kwa wananchi wake katika ukumbi wa Mlimani City




Pia alieleza jinsi atakavyo kwenda kutastua matatizo ya wananchi wake, ataunda serikali ya mawaziri wasiozidi 18, la zaidi alisema kwenye serikali yake ataka kila mtu afuate sheria za nchi, jambo lingine alieleza jinsi atakavyo kwenda kutatua tatizo la ajira kwa vijana huku wakiongozwa na dira ya elimu  ambayo itawafanya vijana wajiajiri, pia aliahidi atakwenda kutatua matatizo na changamoto zinaziowakumba walimu nchini, alisema hato changanya ama kuingiza siasa kwenye elimu. Mkutano huo ulifanyika hapo jana katika moja ya kumbi kumba Mlimani City.



                                   Moja ya Basi alilofika nalo Mbunge na Naibu waziri January Makamba









Related Posts

MBUNGE WA JIMBO LA BUMBULI JANUARY MAKAMBA ATANGAZANIA YA KUGOMBEA URAIS KWA WANANCHI WAKE
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR