Saturday 27 June 2015

Argentina Kutinga Nusu Finali Katika Michuano Ya Kopa Amerca


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Katika robo Final ya michuano ya Kopa Amerca Argentina imefanikiwa kutinga nusu finali  baada ya kuichapa Colombia kwa Mikwaju ya Penati 5-4.

 
katika robo finali hiyo argentina vs Colombia walimaliza dk 120 bila ya kufungana na kwenda hadi hatua ya mikwaju ambapo Carlos Tevez aliweza kuipa timu yake ushindi baada ya kufunga penati ya mwisho baada ya Colombia kukosa penati na kuwa na ushindi wa penati 5-4.
 
 
 
 
Bofya hapo kuona highlights za mikwaju ya argentina dhidi ya Colombia

Related Posts

Argentina Kutinga Nusu Finali Katika Michuano Ya Kopa Amerca
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR