Wednesday, 6 January 2016

Manchester City Yapokea kiachapo kutoka kwa Everton

Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza Primier League mchezo uliochezwa kati ya Everton na Mancherster City, Man City wakiwa nyumbani kwa Evertton wamepokea kipigo cha mabao 2 - 1.
Magoli ya Everton yalifungwa na Funes Mori dakika ya 45 na Lukaku dakika 78, huku goli la Man City likifungwa kupitia Jesus Navas katika dakika 76 ya mchezo huo.

Related Posts

Manchester City Yapokea kiachapo kutoka kwa Everton
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR