Friday 8 January 2016

Samata: Najivunia sana kushinda Tuzo muhimu sana kiasi hiki.

Ni baada ya mchezaji huyu kupokea tunzo mbili moja ikiwa ni ya mchezaji bora wa klabu Afrika na Ya pili ikiwa ni ileya mfungaji bora wa klabu bingwa Afrika.huku akiwabwaga wapinzani wake wawili,  Baghdad Boundjah (Algeria/ Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe).
-
Mbwana Samata na Pierre-Emerick Aubameyang
Baada ya kupokea Tunzo hizo Samta kupitia akaunti yake ya twitter aliwaambia mashabiki wake wa mpia kuwa:
"Najivunia sana kushinda tuzo muhimu sana kiasi hiki. Naijionea fahari na kuonea fahari taifa langu pia. Natoka taifa (Tanzania) ambalo si moja ya mataifa makubwa katika soka Afrika. Kutawazwa kuwa mchezaji bora Afrika, ni jambo kubwa sana kwangu."
Sherehe hizo za kugawa Tunznzo hizo Zilifanyika Mjini Abuja Nchini NigeriaUsiku. Jan. 07, 2016.
Mwana Ally Samata ni mchezaji  anaeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Aliiwezesha timu yake kupata ushindi hapo mwaka jana na kuendeleza timu hiyo kutwaa taji mara tano mfululizo.

Tazama Orodha Nzima ya Washindi hapa chini.
List
AFRICAN PLAYER OF THE YEAR – Pierre-Emerick AUBAMEYANG (Gabon)
AFRICAN PLAYER OF THE YEARBASED IN AFRICAMbwana Aly SAMATTA
WOMEN’S PLAYER OF THE YEAR – Gaelle ENGANAMOUIT (Cameroon)
YOUTH PLAYER OF THE YEAR – Victor OSIMHEN (Nigeria)
MOST PROMISING TALENT OF THE YEAR – Etebo Peter OGHENEKARO (Nigeria)
COACH OF THE YEAR – Herve RENARD (France) – Former Coach of Cote d’Ivoire
REFEREE OF THE YEAR – Bakary Papa GASSAMA (Gambia)
NATIONAL TEAM OF THE YEAR – Cote d’Ivoire
WOMEN’S NATIONAL TEAM OF THE YEAR – Cameroon
CLUB OF THE YEAR – TP Mazembe (DR Congo)
LEADER OF THE YEAR – Abdiqani Said Arab (Somalia)
FAIR PLAY AWARD – Allez Casa Supporters Group (Senegal)
AFRICAN LEGEND
Charles Kumi GYAMFI (Ghana)
Samuel MBAPPE LEPPE (Cameroon)
AFRICA FINEST XI
Goalkeeper: Robert Muteba KIDIABA (DR Congo)
Defenders: Serge AURIER (Cote d’Ivoire), Aymen ABDENNOUR (Tunisia), Mohamed MEFTAH (Algeria)
Midfielders: Andre AYEW (Ghana), Yaya TOURE (Cote d’Ivoire), Sadio MANE (Senegal), Yacine BRAHIMI (Algeria),
Forwards: Mbwana Aly SAMATTA (Tanzania), Pierre-Emerrick AUBAMEYANG (Gabon), Baghdad BOUNEDJAH (Algeria)
Substitutes
Djigui DIARRA (Mali)
Azubuike OKECHUKWU (Nigeria)
Kelechi NWAKALI (Nigeria)
Zinedine FERHAT (Algeria)
Adama TRAORE (Mali)
Victor OSIMHEN (Nigeria)
Kermit ERASMUS (South Africa)

Related Posts

Samata: Najivunia sana kushinda Tuzo muhimu sana kiasi hiki.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR