Monday, 21 December 2015

Cheki Album Nzima ya Chriss Brown Royality

Chris Brown amedondosha album yake mpya Royality iliyokuwa ikingojewa sana na mashabiki wake baada ya kuahirishwa kwa mara ya kwanza. Album hiyo mpya ni ya saba sasa baada ya ile iliyo pita ya X.
 Nyimbo zote alizotoa kipindi hiki na katika msimu huu zote zinapatikana katika album hyio ikiwamo Back to Sleep, Zero, Liquor, Anyway, Wrist Little More na nyinginezo. Nyimbo zote hizi pamoja na album yake zimekuwa dedicated kwa mwae wa kike ambae mpaka sasa anamwaka moja na nusu tangu azaliwe.
Chriss amesema kuwa Album yake hii mpya imefanya atambue yuko wapi kwa asa katika maisha yake ya mziki.
Pia alitumia fursa hiyo pia kuwaambia mashabiki wake kupitia mtandao wa twitter kuwashukuru na kuonyesha inapopatikana album yake.


Royalty Tracklisting
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway” feat. Tayla Parx
8. “Picture Me Rollin'”
9. “Who’s Gonna (Nobody)”
10. “Discover”
11. “Little Bit”
12. “Proof”
13. “No Filter”
14. “Little More (Royalty)”
Deluxe Edition
15. “Day One”
16. “Blow It In the Wind”
17. “KAE”
18. “U Did It” feat. Future

Related Posts

Cheki Album Nzima ya Chriss Brown Royality
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR