Tuesday, 29 December 2015

Dimond atoa sababu za kutokuwepo kwa utambulsho wa Producer Nahreel katika wimbo wake wa 'Nama'

Producer wa stugio ya The Industry alitoa lawama zake juu ya utambulisho wake wa Nahreel on the beat kuondolewa  katika hitsong ya wimbo wa Platnumz - Nana, Dimond Platnumz ametolea ufafanuzi juu ya hilo.


Dimond Platnumz kupitia kipindi cha 255 XXL ya Clouds Fm amesema kuwa kabla ya kushoot video Nahreel alimpatia demo ambayo ilikua haina utambulisho huo na walpomaliza kushoot na director kuedit video hiyo Nahreel alimpatia audio iiyokuwa imekwisha kamilika ikiwa na utambulisho wake Kitu ambacho kingempa kazi tena director kutokana na kuongezeka kwa sekunde kweny demo iliyotumika mwanzo,
Nahivyo isingekuwa rahiisi kwa director kuanza kukata tena na kuedit upya jambo ambalo lingekuwa linachelewesha kazi hiyo.



Dimond alisema kuwa: 
"Haikuweza kufi kwasababu ilikuwa inazidishasekunde ilalafu ilkuwa inaanza mwanza mara kumi ingekuwa inaakaaa mwisho   tungesema inaishia mwisho lakini ingekuwa vigumu kuiweka mwanzo..........
angeiweka tangu manzo ingekuwa rahisi...."
Na khuusu video hiyo kufanyia mastering na Tuddy Thoms, amesema kuwa hakuna ukweli wowote kwamba Tuddy atakuwa ameichekecha video hiyo.

Related Posts

Dimond atoa sababu za kutokuwepo kwa utambulsho wa Producer Nahreel katika wimbo wake wa 'Nama'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR