Monday 19 October 2015

Mohammedui Dewji amewashauri wananchi kuwekeza kwenye Kilimo

Mfanaya Biashara Maarufu Nchini na aliyekuwa Mbunge wa Singida mjini Mohammedi Dewji kupitia kipindi cha Mkasi Tv amewashauri wanachi wawekeze sana katika kilimo na kuwaambia kuwa vijana wajue kuwa kuna pesa nyingi katika Kilimo.
pamoja na hayo  Dewji amesema kuwa Tanzania ni Moja ya Nchi Kumi(10) duniani inayoongoza kwa kukuwa kiuchumi na Uchumi wake unakuwa kwa Asilimia 7 mpaka 7.2%
Aaidha amesema kuwa pamoja na chini hii kukuwa kiuchumi Pesa haziwafikii watu wa chini.

Dewji pamoja na kuachana na Siasa amesema kuwa alipokuwa mbunge wa Singida alitumia Bilioni 5 aliweza kuchimba visima 50 na kutatua tatizo la maji katika jimbo la singida mjini.
Mwakamwezi March2013 Dewji alitajwa na Jarida la Forbes kama billionaire wa kwanza Nchini Tanzania na Mwaka 2015 akatajwa tena na jarida hilo kama moja ya matajiri 31 barani Africa.

Related Posts

Mohammedui Dewji amewashauri wananchi kuwekeza kwenye Kilimo
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR