Tuesday 18 August 2015

VIDEO; RITA ORA FEAT CHRIS BROWN - 'BODY ON ME'


Baada ya Rita Ora kutangaza kuwa atafanya album na Chris Brown sasa amekuja na video ya wimbo wa body on me akimshirikisha Brown.
nyimbo hii ndio single ya kwanza ambayo itakuwepo kwenye album yake ijayo aliyotangaza kuwaatafanya na msanii huyo.
                                            bofya hapo chini kusikiliza wimbo huo.

Related Posts

VIDEO; RITA ORA FEAT CHRIS BROWN - 'BODY ON ME'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR