Friday 14 August 2015

Mick Mill amaliza ugomvi na Rappa Drake.

Mick Mill alipost swala hili kupitia mtandao wa instagram alithibitisha  kuwa hana tena (beef) ugomvi na Drake.

Alisema kuwa sio kwamba anafanya utani ila ni kweli hatokuwa na ugomvi na rapa huyo.
Rapa huyo ambae alimdis Drake kwakuwa haandiki mistari yake mwenye  alisema kuwa anajuta ni kwanini alitengeneza ugomvi huo.
                                                                       
Na hivi ndivyo alivyosema;
I’m not entertaining no rap/real beef over drake s/o a rapper!”
Pia aliandika ;
 “It won’t bring me no money or success,” . “Ima take blame for it even tho ‘I can stand’ anything I do or say and niggaz know…”
Mick Mill ambaye alidondosha nyimbo ya "I wanna Know' baada ya drake kuachia "Charged Up" 
Nyimbo huyo ya Mick Mill haipo tena katika #Sound Cloud 

Related Posts

Mick Mill amaliza ugomvi na Rappa Drake.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR