Tuesday 20 October 2015

New Music: Kanye West – ‘When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)’

Kanye West ameamua kudonodha ngoma zake mbili kwa pamoja, "when I See It pamoja na Say You Will".
sikiliza nyimbo ya kwanza ya "When I See It" hapa chini.

Nabaada ya hapo alidondosha remix ya wimbo wa Say You Will ambao ulikua katika album yake ya 2008, 808s & Heartbreak.katika nyimbo hii amemshirikisha mwanamziki Caroline Shaw.
Sikiliza ngoma yake ya pili hapa chini

Related Posts

New Music: Kanye West – ‘When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)’
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR