Saturday 11 June 2016

Finali NBA: Warriors warejesha Ushindi 3 - 1 dhidi ya Cleveland - VIDEO

Warriros wameshinda Michezo 3 - 1 dhidi ya Cleveland katika mchezo wa 4 uliochezwa hapo Ijumaa Usiku. Cleveland wakiwa nyumbani wamefungwa  na Golden State Warriors vikapu 108 - 97.
Katika finali hiyo ya 4, Stephen Curry ilishinda vikapu 38, huku akifunga point 3 mara saba na hivyo kuiwezesha timu yake kupata ushindi huo dhidi ya Cavs katika mchezo wa 4.

kwa upande wa Cleveland Kyrie Irving alifunga vikapu 34 huku James akiwa na vikapu 25.
Mchezo wa 5 (game 5) ama finali ya tano, Warriors watakuwa nyumbani wakikutana tena na Cavs. ambapo Warriors watakuwa na nafasi kubwa ya kuweza kushinda Mchezo huo kutokana na ushindi waliopata dhidi ya Cavs.
"He's the MVP for a reason" alisema kocha wa Stephen Curry.
Anglia video highlights za mchezo huo hapa chini

Related Posts

Finali NBA: Warriors warejesha Ushindi 3 - 1 dhidi ya Cleveland - VIDEO
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR