Thursday 15 October 2015

Jose Morinho Apewa Adhabu

Chama cha soka la FA kimeudhabu Meneja wa Chelsea Jose Mournho kutokana na utovu wa nidhamu uwanjani. Meneja huyo atafungiwa kutazama mehi moja na atatakiwa kulipa faini ya Paundi £50,000.

hii inafuatiwa na kitendo cha Meneja huyo kuwatupia maneno mabaya mwamuzi wa mechi dhidi ya Southampton Robert Madley, baada yakupokea kichapo cha mabao 3 - 1.
Kauli hiyo iliwafanya FA kuona kauli hiyo  ilikua inaonyesha kuwa Waamuzi wa mechezo waonekane kuwa wanapendelea.
Chelesea wamepoteza michezo 4 katika michezo 10 waliocheza katka Ligi kuu ya Uingereza, ambapo mpaka sasa wana point 8.

Related Posts

Jose Morinho Apewa Adhabu
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR