Tuesday 13 October 2015

New Music;Dj Khaled - 'I Don't Play With My Paper'

Baada ya kudondosha Single mbili kwa pamoja, You Mine na Gold Slugs, Dj Khaled amedondosha hii nyingine ya "I Dont Play With My Paper" aliomshirikisha Future na Rick Ross.
nyimbo hizi zote ziznatarajiwa kuwepo kwenye Album yake mpya Ijayo ya I Changed A Lot hapo Nov.23
Isikilize Single hiyo Hapa chini

Related Posts

New Music;Dj Khaled - 'I Don't Play With My Paper'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR