Mwanamke mmoja nchini Mali ameamu kutengeneza Ukarasa wa Facebook(facebook page) kwa ajili ya kuendelea kuwa tafuta watu 200 waliotoweka nchini Mali baada ya Mkasa wa Mahujaji nchini Saudi Arabia.
Nabou Traore aliiambia BBC kuwa haukufanyika uchunguzi wakutosha kuwatafuta mahuaji hao wa Mali huko saudi Arabia.
Watu wamekuwa wakitumiana picha za ndugu zao katika mitandao ya kijamii kwamba hawajawasiliana nao na piakuwatambua katika hospitali.
Maafia wamethibitisha kwamba mahujaji 60 kutoka Mali walifariki wakati wa vurugu.
Mamalaka za Saudi Arabia zimesema watu 769 walifariki katika mkanyagano, ijapokuwa Maafisa kutoka mataifa ya waathirika hao wamesema idadi ya kweli ni 1,480

Mtandao wa Facebook Watumika kutafuta Mahujaji Nchini Mali
4/
5
Oleh
kwetutz24