Thursday 9 June 2016

Finali NBA: Lebron James Kuiongoza Cleveland Kupata Ushindi dhidi ya Warriors

Ikiwa ni Mchezo wa 3 ama finali ya tatu kuchezwa kati ya Golden State Warriors na Cleveland iliyochezwa siku ya Jumatano Usiku, Lebron James Akifunga vikapu 32 aliiwezesha timu yake kupata ushindi dhidi ya Warririors kwa kuichapa Vikapu 120 - 90 Warriors wakiwa wenyeji wa Mchezo huo. Kyrie Irving alishinda vikapu 30, huku J.R Smith akishinda vikapu 20.
Upande wa Golden State Warriors, Stephen Curry alishinda Vikapu 19 tu huku Klay Thompson akipata vikapu 10.
Mchezo wa 4 unatarajiwa kuchezwa hapo Ijumaa Usiku katika Uwanja wa Cleveland.

Related Posts

Finali NBA: Lebron James Kuiongoza Cleveland Kupata Ushindi dhidi ya Warriors
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR