Thursday 2 July 2015

WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAMKE FARKHUND NCHNI AFGHANISTAN WA ACHIWA HURU


Nchini Afghanistan makundi yanayo tetea haki za wanawake nchini humo yamechukizwa sana na kitendo cha mahakama ya rufaa kuwaachia huru watuhumiwa waliohusika katika mauaji ya kumuua mwana dda Farkhunda. mwanadada huyo aliuliwa na watu wane baada ya kuhukumiwa kwa kosa lisilokuwa la kweli la kuteketeza Koran. Mwanamke huyo aliuawa mwezi marchi.Farkhunda alishambuliwa kwa mawe mpaka kufa na wanaume wanne na kasha kukanyagwa na gari na kuchomwa moto.

Related Posts

WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAMKE FARKHUND NCHNI AFGHANISTAN WA ACHIWA HURU
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR