Friday 3 July 2015

WABUNGE WA TANO WAPEWA ADHABU YAKUTOHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE VILIVYOBAKI KWA MWAKA 2015


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Wabunge John Mnyika, Tundu Lissu, Mosses Machali, Felix Mkosamali, Rashid Ali, na wengineo wapewa adhabu ya kuto hudhuria vikao vya bunge vilivyo baki kwa mwaka 2015 kutokana na kuleta fujo wakati wa kikao cha bunge, leo asubuhi.

 
miswada hiyo mitatu ilihindwa kusomwa tena kwa mara ya pili kutokana na  fujo pamoja na kelele zilizo tokana  na kambi pinzani, wakipinga miswada hiyo isipitishwe. na kupelekea kikao cha bunge kuahirishwa.
kelele hizo zilifanywa na wabunge watano Mh.John Mnyika, Tundu Lissu, Mosses Joseph Mchali, Rashid Ali Abdala, Felix Francis Mkosamali  na wengineo sita.  
wabunge hawa ndio waliotajwa kuwa walileta fujo bungeni. 

 
Hii ilitokana na Waziri wa nishati na madini Georige Simbachamwene wakati akisoma kwa mara ya pili mswada wa Mafuta na Gesi asilia( muswada juu ya Petrol2015) na Tundu Lissu ndipo akasimama akiomba kuhusu utaratibu na spika hakumpa nafasi, hivyo ikapelekea wabunge wa kambi pinzani kusimama bungeni na kuanza kipiga kelele wakisema mwongozo!!!!  na baada ya hapo Spika wa bunge Anne Makinda akamwomba  akakae kutokana na fujo hizo. Na ndipo spika akaamua kuwataja waio kuwa wakipia kelele hozo na kuwapa adhabu ya kutohudhuria vikao vilivyo baki vya bunge hilo 2015.
Baada ya hapo spika wa bunge akasitisha bunge mpaka watakapo itwa tena. kamati ya maadili iliitwa kujadii swala hilo.






Kwa story mbali mbali kutana nami katika facebook, twitter,na  gmail

Related Posts

WABUNGE WA TANO WAPEWA ADHABU YAKUTOHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE VILIVYOBAKI KWA MWAKA 2015
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR