Friday 3 July 2015

Radamel Falcao Kusaini Mkataba na Chelsea















Chelsea wamefanikiwa kuinasa saini ya aliekuwa mchezaji wa Manchester United Radamel Falcao,kwa  ada ya paund 6 mill.
Mkolombia huyo mwenye umri 29, amecheza Manchester United  katika msimu uliopita kwa mkopo na ameweza kufunga magoli 4 kati ya michezo 29 aliocheza. mchezaji huyo ataenda kujiunga na wachezaji wenzake walioko Chelsea  aliowahi kuchezanao Atletico Madrid kama vile Diego Costa, Filipe Luis na  Thibart Courtois.
Falcao alisema "Nina furaha ya kujiunga na Chelsea"
Radamel Falcao













Related Posts

Radamel Falcao Kusaini Mkataba na Chelsea
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR