katika siku ya leo june 2, kikao chabunge kiliahirishwa gafla baada kambi pinzani kupinga miswada miswada mitatu kutopitishwa, ikidaiwa kuwa imekiuka kanuni.
Bunge hilo lilivunjwa gafla baada ya mbunge wa chama pinza John Mnyika kuomba mwongozo kwa spika na akitaka ufafanuzi katika kipindi cha maswali na majibu.
Mh. John Mnyika alisema, kuleta miswada mitatu kwa mkupuo ni ukiukwaji wa kanuni, na wabunge wote tulisha kataa miswada hii isiletwe kwa dharura, alimwambia Spika.
Tundu lisu alipoulizwa na vyombo vya habari alisema kuwa :miswada hiyo imeletwa kwa mipango ili mtu yoyote asielewe kilicho pitishwa" ndio maana walikataa miswada hiyo kutopitishwa
Na ndio chanzo cha ugomvi ndani ya bunge amabapo Mh John Mnyika alimwoba spika Anne Makinda kutoa mwongozo kwa kwakatihuo kwa lazima na kilichofuata spika alimjibu kwa kusema:
“Toa kwanza maneno ya kuniamrisha mimi cha kufanya… Hakuna mtu anayeweza kuniamrisha”
Na baada ya hapo kelele zilianza kusiskika kutoka kwa wabunge zikisema : hatutoki, hakuna kutoka, huku spika akisema amueni wenyewe, najua hamja jiandaa, hii yote ni baada ya spika kuwatangazia kuwa ameahirisha Bunge mpaka siku nyingine.
Spika wa Bunge Anne Makinda aliamua kuahirisha bunge hilo mpaka siku jingine atakapo toa taarifa.
Ungana name katika Facebook, twitter, gmail.com
Bunge La Ahirishwa Gafla leo July2, 2015
4/
5
Oleh
kwetutz24