Friday 30 October 2015

MTVEMA2015; Dimond Platnumz arudi Nyumbani na Tuzo nyingine

Hivi karibuni Dimond Platnumz aliweza kujinyakulia tuzo za AFRIMMA2015, na bada ya hapo Dimond alitangazwa na MTVBASE kama mshindi wa Mtv Europe kipengele ha Bets African Act na kuingia katika kipengele kingine cha MTVEMA 2015 katika kipengele cha Betsworldwideact ambapo aliweza kumshinda mpinzani wake Priyanka chopra na kuibuka mshindi wa kipengele hicho.

Tuzo hizi zilifanyika huko Milan Italy.

Related Posts

MTVEMA2015; Dimond Platnumz arudi Nyumbani na Tuzo nyingine
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR