Sunday 25 October 2015

Full Time Match; Liverpool watoka sare na Southampton

Katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool wakiwa nyumbani wamejikuta wakitoka sare ya bao 1 kwa 1. katika mchezo huu Liverpool ilitangulia kujipatia goli lao kupitia Christian Benteke katika dakika ya '77'. lakini Goli hilo lilisawazishwa na Southampton kupitia mchezaji wao Sadio Mane katika dakika ya '86'.
Sare hii imempandisha Southampton katika nafasi ya 8 huku Liverpool akiachwa kaitka nafasiu ya 9.

Related Posts

Full Time Match; Liverpool watoka sare na Southampton
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR