Friday 30 October 2015

Hatimae Dr.John Pombe Magufuli Atangazwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Dr. John Pombe Maghufuli ametangazwa rasmi kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kukamilika hapo jana.
Akitangazwa hapo jana Jaji mstaafu Damiani Lubuva kama mwenyekiti wa tume ya uchaguzi NEC amemtangaza Dr. Maghufuli kamamshini katika uchaguzi huo, akiwa ameshinda kwa kura 8, 802,935 ikiwa sawa na 58.46%  huku mpinzan wake akiambulia kura 6,072,848 ikiwa sawa na 39.97%.

Related Posts

Hatimae Dr.John Pombe Magufuli Atangazwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR