Thursday 2 June 2016

Record Lebo 'WCB' yamsaini Rasmi Rich..

Msanii wa bongo Flava Rich Mavoko amesainiwa rasmi hii leo kwenye record Lebo ya wasafi Classic   'WCB' inayo milikiwa chini ya Dimond Platnumz.
Mavuoko sasa anakuwa msanii wa nne kusainiwa kwenye Lebo hiyo.

Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii nne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na jumla ya wasanii nne Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling  taarifa kutoka Millard Ayo.



Related Posts

Record Lebo 'WCB' yamsaini Rasmi Rich..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR