Thursday 2 June 2016

Man City Yamsjili Ilkay Gundogan..

Man City imemsajili Ilkay Gundogan akitokea Borussia Dortmund kwa makataba wa Miaka Mnne katika timu hiyo. Man city imemsajil;i mchezaji huyo kwa ada ya Paund 20 milioni.
Mchezaji huyo mwenye umri miaka 25 ambaye atakosa mechi za Euro 2016 kutokana na majeraha amekua  mchezaji wa kwanza kusajiliwa chini ya kocha moya wa Man city Pep Guardiola.
Hata yeye alithibitisha hilo kupitia akaunti yake ya twitter.

Related Posts

Man City Yamsjili Ilkay Gundogan..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR