Saturday 4 June 2016

Zlatan Ibrahimovic Anatarajiwa kujiunga na Man United..

Zlatan Ibrahimovic aliyekuwa akiichezea timu ya Paris Ufaransa (PSG) yuko njiani kukamilisha mkataba na klabu ya Manchester United baada ya kuondoka PSG mwishoni mwa msimu huu.
taarifa zinasema kuwa mchezaji huyo ameondoka kambini Sedwen wanaojiandaa na michuano ya Euro 2016 kwenda kukamilisha usajili huo na Manchester United.
Zltan Ibrahimovic amekua chaguo pekee kwa kocha mpya wa Man United, Jose Mournho katika dirisha la Usajili.

Related Posts

Zlatan Ibrahimovic Anatarajiwa kujiunga na Man United..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR