Monday 6 June 2016

Finali NBA: Golden State Worrirors washinda mchezo wa pili dhidi ya cleveland

Draymond akishinda vikapu 28 huku Stephen Curry akiongeza vikapu 18, rebound 9 akiwa amecheza dakika 25 waliiwezesha timu yao Golden State Warroriors kuendeleza ushindi katika mchezo wa dinali ya pili (Game2) dhidi ya Cleveland kwa kuifunga vikapu 110 - 77 mchezo uliochezwa siku ya jumapili.
Kwa upande wa Cleveland Lebron James alishinda vikapu 19 na rebound 8, mchezaji huyo wa Clevelanda alisema kuwa wamekubali kufungwa dhidi ya wapinzani wao na hawakuweza kupata ushindi wowote,



''They just beat us,'' LeBron James said. ''We didn't win anything. No points of the game did we beat them in anything.'' alisema Lebron.



Warrorors waliishinda Cleveland katika finalzilizopita mwaka jana na sasa wamewapiga mara saba mfululizo. Finali ya kwanza Warriors washinda kwa vikapu 104 - 89 dhidi ya Cleveland.

Related Posts

Finali NBA: Golden State Worrirors washinda mchezo wa pili dhidi ya cleveland
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR