Saturday 4 June 2016

Tanzania(Taifa stars ) yatolewa kwenye michuano ya AFCON 2017


Katika mchezo wa marudio wa kufuzu michuano ya AFCON 2017 kati ya Taifa stars na Misri mchezo uliofanyika katika Uwanja wa taifa, stars wakiwa wenyeji wa mcheazo huo wamekubali kichapo cha mabao 2 - 0 , mbagolu hayo yalifungwa na Mohamed salah anaechezea Ac Roma kwa sasa katika dakika ya 43 na 58, huku mshambuliaji na nahodha wa taifa stars Mbwana Samata anaecheza soka la kulipwa nchini Ubelgiji akikosa penati katika dakika ya 53.
Mchezo wa kwanza ulichezwa nchini Misri, taifa stars alifungwa magoli 3 kwa 0.
Misri wamefikishwa point 10 wakiwa nafasi ya kwanza, Nigeria ikishika nafasi ya pili ikiwa na point 2 na Tanzania ikishika nafasi ya tatu kwa point 1.

Related Posts

Tanzania(Taifa stars ) yatolewa kwenye michuano ya AFCON 2017
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR