Saturday 4 June 2016

Bondia Mkongwe Mohammad Ali amefariki akiwa na miaka 74

Bondia Mkongwe duniani Mohammad Ali  aliye kuwa akijiita almaarfu kama "the Greatest" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Bingwa huyo wa dunia mara tatu wa uzani wa juu wa zamani alifarikia siku ya ijumaa akiwa hospitali iliyoko US mji wa Phonix, Arizona baada ya kufikishwa hospitalini hapo siku ya Alhamisi kutokana na ugonjwa wa kupumua uliokuwa ukimsumbua kwa mda mrefu. mbali na ugonjwa huo
Ali alipatikana na ugonjwa wa Parkinson ama Kiarusi  mwaka wa 1984 baada ya kustaafu ngumi za kulipwa.


Mohammad Ali atakumbukwa kwa kushinda mapambano mengi zaidi akipigwa mara tano kati  ya mpambano aliyopigana. 

Muhammad Ali,  Alizaliwa Cassius Marcellus Clay, 17 January 1942, 61 mapambano, 56 Alishinda, pamoja na kushinda mapambano 37 yanayojulikana kama knockouts

Related Posts

Bondia Mkongwe Mohammad Ali amefariki akiwa na miaka 74
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR