Tuesday 14 June 2016

Final NBA: Cleveland ya iadhibu Warriros.....

katika finali ya 5 ya mchezo wa NBA kati ya Cleveland Cavallers dhidi ya Golden State Warriors  Lebron James na Kyrie Irving wamekuwa wachezaji wa kwanza wa timu moja kuwa na vikapu 40 kila mmoja katika final moja na Cleveland Cavallerd wakapiga juhudi kuwaadhibu Golden State Warriors 112-97 usiku wa Jumatatu.

James alishinda vikapu 41, rebound 16 na assist 7 huku Irving akiwa na point 41 kati ya mtupo 17 – 24, assist 6. Katika mfululizo huu ikiwa ni mchezo wa 6 utakaovchezwa siku ya Alhamis Cleveland watakua nyumbani
Upande wa Warriors Klay Thompson alishinda vikapu 37 na curry 25 huku wakimkosa mchezaji wao Draymond Green katika mchezo huo kutokana kucheza rafu. Pia walimkosa Bogut Carly aliyrpata majeraha ya goti katika mzunguko wan ne(fourth quarter)
Warrirors bado wanaongoza kwa michezo 3 – 2 dhidi ya cavs , mwaka jana warriors walitwaa taji katika finali ya mchezo wa 6 wakiwa nyumbani kwa Cavs.

Related Posts

Final NBA: Cleveland ya iadhibu Warriros.....
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR