Saturday 10 October 2015

Video ya See You Again ya Wiz Khalifa yafikisha viewers wengi..

Video ya See You Again ya Wiz Khalifa akiwa amemshirikisha Charlie Puth ambae alitengeneza sound track ya filamu ya Furious 7 imekuwa ni moja ya video katika You tube iliofikisha viewers wengi waliofikia Billioni Moja.

video hiyo ya "see you again" imekua moja ya video 10 kutazamwa kwa wingi katika You tube pamoja na Blank Space ya Tylor Swift na Uptown Funk ya Mark Ronson na Bruno Mars.
Nahivo kumfanya msanii huyo kuwa Msanii wa kwanza wa Hip Hop kufikisha viewer 1. Billion kwenye You Tube.
       

Na hii ndio top 10 list ya video zinazotazamwa kwa wingi You Tube
1. PSY – “Gangnam Style” – 2,426,500,822
2. Justin Bieber – “Baby” – 1,219,883,321
3. Taylor Swift – “Blank Space” – 1,188,147,147
4. Katy Perry – “Dark Horse” – 1,121,919,001
5. Katy Perry – “Roar” – 1,085,316,510
6. Taylor Swift – “Shake It Off” – 1,073,453,852
7. Enrique Iglesias – “Bailando” – 1,070,883,424
8. Meghan Trainor – “All About That Bass” – 1,046,823,436
9. Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk” – 1,045,536,246
10. Wiz Khalifa – “See You Again” – 1,004,350,672

Related Posts

Video ya See You Again ya Wiz Khalifa yafikisha viewers wengi..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR