Chris Brown anaendelea kudondosha video zake alizofanya, Hapo jana tu alidondosha video ya wimbo wake wa Back to Sleep na hivi leo amedondosha video yake mpya "Wrist".
Team Breezy wakishirikiana na Saolo LKucci wanakuletea video hiyo mpya "wrist" amabayo moja ya matayarisho ya Album yake ya Saba Royaity. Royality ni jina la mtoto wa Chris Brown
Video: Chris Brown feat. Solo Lucci – ‘Wrist’
4/
5
Oleh
kwetutz24