Sunday 12 July 2015

Wembledon2015; Serena Williams atwa taji ya ushindi mara nyingine tena

Mchezaji wa Tennis Serena Williams ametwaa taji kwa mara nyingine tena na baada ya kumfunga mpinzani wake Garbine Muguruza kwa 6-4, 6-4 katika seti zote walizocheza. 
mchezo huo ulichezwa wembledon hapo jana.
serena williams
hii ni mara ya nne sasa serena serena kutwaa ushindi huo.alisema kwa yeye kushikilia mataji manne ya wemledon kwa wakati mmoja kumefanya mchezo huo kuwa katika wakati mzuri kimichezo.
Serena ni mwanamke wa kwanza kushinda katika ufunguzi wa michuano ya French na Wembledon  kutoka mwaka 2002. serena alishinda taji yake ya kwanza mwaka 1999 alipomshinda mpinzani wake Martina Hingis


serena akishilia kombe lake mwaka 1999




Related Posts

Wembledon2015; Serena Williams atwa taji ya ushindi mara nyingine tena
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR