Saturday 11 July 2015

Tetesi; Schweinsteiger kujiunga na Mancheser United

Hivi sasa kunatetesi kwamba mjerumani Schweinsteiger anaechezea klabu yake ya Bayern Munich atajiunga na klabu ya Manchester united msimu ujao.
Mwenyekiti wa Buyrn  Karl-Heinz  Rummenige  alithibitisha hilo siku ya jumamosi alipo ongea vyombo vya habari.
Rummanige alisema kwamba walisha kubaliana na Manchester juu ya uhamisho wa mchezaji huyo mwenye miaka 30.  Schweinsteiger amecheza michezo 536 akiwa Bayern tangu 2002.
Na inasemekana kwamba mchezaji huyo atasaini mkataba wa miaka 3 na klabu ya United.

Related Posts

Tetesi; Schweinsteiger kujiunga na Mancheser United
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR