Saturday 11 July 2015

VIDEO; FUTURE - 'BLOW A BAG'

Baada ya Future kutoa album yake ya Dirty Sprite 2,(DS2) sasa amekuja na single yake mpya ya "Blow a Bag" kwa ajili ya mashabiki wake wa muziki.

                                       VIDEO; FUTURE - BLOW A BAG

Future aliitambbulisha album yake mpya ya DIRTY SPRITE 2 siku chache zilizopita, pia
future alizungumza kwenye mtandao wa twitter akisema:
"I think the world ready for me to drop my album"
pia kabla ya kudondo sha wimbo hup alifanya documentary yake kwa ufupi wakati akiandaa nyimbo yake.  itazame hapa chini:

tazama documentary aliofanya future


                                                DOCUMENTARY







Unahitasaji story zaidi ya hizi? basi ungana nami facebook, twitter, na gmail nitakuhabarisha zaidi ya hapa.

Related Posts

VIDEO; FUTURE - 'BLOW A BAG'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR