Saturday 11 July 2015

Nape Nauye aendelea kuvia ambia vyombo vya habari kuhusiana na uteuzi wa wagombea CCM Mjini Dodoma.

baada ya ccm kukaa kikao na kuteua majina 5 yatakayo enda kuwania nafasi ya Urais hapo jana, katibu wa NEC, itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nauye amezungumza na jopo
la waandishi wa habari siku ya mchano kuhusu mchakato mzima wakwenda kuteuwa wagombea wa Urais CCM. akizungumza na waandishi hao amesemak uwa siku ya leo watakwenda kuteua majina 3 kati ya yale 5 ya watu wakao enda kuwania nafasi hiyo ya Urais CCm.
Uteuzi huo utafanyika majira ya saa 3 usiku leo.

Related Posts

Nape Nauye aendelea kuvia ambia vyombo vya habari kuhusiana na uteuzi wa wagombea CCM Mjini Dodoma.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR