Saturday 11 July 2015

CCM YATEUWA MAJINA MATANO YATAKAYO WANIA NAFASI YA URAIS..

Hatimae Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya kukaa kikao kimeteuwa wagombea 5 watakao wania nafasi ya Urais2015.

Majina hayo ni;
dr. Bernad Membe
John pombe Magufuli
January Makamba
Dr. Asharose Migiro
Amina Salum All.


baada ya hapo pia ccm itateuwa watu 3 watakao gombea tena nafasi hiyo.

Related Posts

CCM YATEUWA MAJINA MATANO YATAKAYO WANIA NAFASI YA URAIS..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR