Friday 10 July 2015

Robin Van Persie Kuondoka Manchester United

Robin Van Persie ataondoka Manchester United na kwenda katika Klabu ya Fernabahce kwa ada ya paundi 4.7 mil. kuhama kwa Robin kumetokana uhusiano kati yake na Louis Van Gal kuvunjika na pia kuna tetesi zinasema kwamba Thomasi Muller ndio mchezaji ambae atakuja kuchukua nafasi yake. ndio sababu ya Robin kuondoka Manchester.
Robin Van Persie
Uhamisho huu utakamilika siku ya jmapili baada ya Robin kufanyiwa vipimo vya afya. Robin atkwenda kuungana na Louis Nani katika klabu hiyo ya Fernabahce.

Related Posts

Robin Van Persie Kuondoka Manchester United
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR