Friday 10 July 2015

New Video; Yemi Alade ft Mugeez - 'Pose' (cover dance version)

Mwanamziki wa kinaigeria Yemi alade amezidi kufanya vizuri katika video zake na sasa amekuja na kitu kipya kwa ajili ya mashabiki wake, video hiyo inajulikana kama  'pose' (cover Dance Version) na hii ni video ya pili ya 'Pose'
na kikubwa ni kwamba video hii imepata viewers wengi 300,000 na imekuwa top chart za mziki bara. produced by Paul Gambiti
    
                                           bofya kusikiliza wimbo
                                            Yemi alade  ft Mugeez- pose (Cover Dance Version)




Kwa stori Zaidi kutana name wenye mitandao ya facebook, twitter na gmail

Related Posts

New Video; Yemi Alade ft Mugeez - 'Pose' (cover dance version)
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR