Sunday 12 July 2015

John Pombe Magifuli ateuliwa na Chama cha mapinduzi kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu2015

siku ya leo mjini Dodoma chama cha mapinduzi ccm kimekaa kikako na kumpigia kura mgombea wa urais atakaenda kuipepeprusha bendera ya ccm katika kuwania nafasi ya urais.

katika kupiga kura hizo waliokuwa wakigombania nafasi hiyo walikuwa ni;
john pombe maghufuli,
amina salim all na
asharose migiro.
katika uchaguzi huo kura zilizo pigwa zilikuwa 2,422
kura zilizo haribika - 6
kura halali - 2416.

katika kura hizo
Asharose migiro - 59 sawa na 2.4%
Amina Salim All - 253 sawa na 10.5%
John Magufuli - 2104 sawa na 87.1%
ndipo Magufuli akatangazwa rasmi kuwa ndie mgombea atakakwenda kuipeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
kulia ndie Samea suluhu Hassan
baada ya ushindi huo Dkt Johjn Magifuli alimteuwa mgombea mwenza Samea asuluhu Hassan ambae atakwenda kuwania nafasi ya makamu wa Rais CCM katika uchaguzi 2015

Related Posts

John Pombe Magifuli ateuliwa na Chama cha mapinduzi kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu2015
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR