Monday 13 July 2015

MKONGWE WA FILAM ZA VITIMBI, BENSON WANJAU ALMAARUFU KAMA MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA

Mkongwe wa filamu za vitimbi nchini kenya Benson Wanjau almaarufu kama mzee ojwang  amefariki dunia usiku wa jana katik hospitali ya kenya(kenyatta national hospital).

Ojwang amefariki kwa ugonjwa wa Pnemonia
pia amefariki akiwa na umri wa miaka 78.
mkongwe huyu alikuwa maarufu katika uigizaji wa filamu za vitimbi nchini kenya.

ojwang akiwa na mama kayai
                                                 
 

Related Posts

MKONGWE WA FILAM ZA VITIMBI, BENSON WANJAU ALMAARUFU KAMA MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR