Monday 13 July 2015

VIDEO; TREY SONGZ - 'ABOUT YOU'

siku chache zilizopita Trey songz aliachia nyimbo yake kabla ya kupanda kwenye stage mjini Miami video hiyo inajulikana kama 'about you'.
na hii ni nyimbo yake y mwisho kuiachia katika album yake ya Trigga Reloaded.
 hii ni album yake ya saba kuachia.

                                          Trey Songz - About You
icheki nyimbo yako hapa. kwa kubonyeza hapo kati na uburudike.









Related Posts

VIDEO; TREY SONGZ - 'ABOUT YOU'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR