Monday 13 July 2015

Usher Raymond anampango wa kuachuia album yake mpya na movie hivi karibuni

Usher hivi karibuni amekuwa akitingwa sana na mambo mengi, lakini sasa anampango wakuachia album yake mpya,
japo kuwa hivikaribuni amekuwa akieleza mipango yake katika muziki na hata mambo mengine ukijumuisha na muvi yake mpya inayotoka hapo baadae.
'album inakuja' aliiambia Billbord, kwa sasa sio mada ya mazungumzo kutokana na mambo mengine niliokuwa nikifanya alisema.
japo hakueleza kama atatoa nyimbo yoyote kipindi hiki.
siwezi kuwa kitu kimoja nina jitahidi kila wakati watu waweze kutambua kile kidogo nilichonacho na na matamamnio yangu yanaonekanaje. alisema Usher.


Usher aliwaomba mashabiki wake kuwa wavumilivu wakati akianda album yake mpya.
Usher sasa yuko na mradi mpya na Yoobi.com campuni ambayo inafanya kazi mtaani.
 "Mixing street smarts with school smarts” huu ni msemo aliosema Yoobi X Usher.

                                usher akiwa amebeba boksi lililoandikwa yoobi.







unahitaji chochote, amacomments, kutana nami katika facebook, twitter, gmail.
na ukiweza comment hapo chini kwa wao lolote.

Related Posts

Usher Raymond anampango wa kuachuia album yake mpya na movie hivi karibuni
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR